84 Products For Sale in Pwani
Explore Land for sale in Pwani. Find great deals on different products including electronics, furniture, vehicles & more from verified sellers on Zoom Tanzania.
There was problem loading your listings, please try to refresh this page
Refresh
Alphonce Kamisa
3 years
SHAMBA REAL ESTATE FOR SALE IN KIWANGWA
TZS 5,000,000
SHAMBA REAL ESTATE FOR SALE IN KIWANGWA
Pwani
Shamba lipo Kiwangwa eneo linaloitwa Bago katika kijiji cha Msinune. Lina ukubwa wa takriban eka mbili (02) kasoro hivi. Jirani n shamba ipo Shule ya Msingi Msinune. Barabara ya vumbi inafika hadi shambani na gari zinafika kiurahisi. Umbali kutoka shambani hadi barabara ya lami inayotoka Bagamoyo kuelekea Msata ni kama Kilometa 1 hivi. Linafaa kwa kilimo cha...
TZS 5,000,000
Happy Twissa
1 year
SHAMBA Bagamoyo Pwani
TZS 5,000,000
SHAMBA Bagamoyo Pwani
Pwani
SHAMBA HEKA 4 PEMBENI YA MTO WAMI ,LIMESAFISHWA ,KIWANGWA BAGAMOYO LINAUZWA ,KUNA MIRADI YA KILIMO NA UFUGAJI IMEZUNGUKA SHAMBA NA PAMOJA NA BARABARA PANA YA GARI KUTOKA BARABARA KUU HADI SHAMBA IPO VIZURI.
TZS 5,000,000
Pro
Rachel James
2 years
Rahimu Ally
1 year
Rahimu Ally
1 year
MR CHILO
4 months
10 Acre Land for Sale in Kiwangwa, Bagamoyo, Pwani
TZS 3,000,000
10 Acre Land for Sale in Kiwangwa, Bagamoyo, Pwani
Pwani
*🟢 SHAMBA LINAUZWA – KIWANGWA, BAGAMOYO 🟢* Fursa ya kumiliki ardhi yako! ✅ Ukubwa: Heka 10 ✅ Umbali: Km 4 kutoka barabara ya lami ✅ Mahali: Kiwangwa – Bagamoyo ✅ Mazingira tulivu, yanafaa kwa kilimo, ufugaji au makazi ✅ Umeme na maji karibu 💰 Bei: TSh 900,000 kwa heka (maelewano yapo) 📞 *Wasiliana na Mr. Chilo – 0714 121 506* *Miliki shamba lako leo – usipit...
TZS 3,000,000
Tujijenge Tanzania
2 years
Kyalo Mbatha
8 months
Tujijenge Tanzania
2 years
Pro
Rachel James
2 years
Ivan Minja
1 year
MR CHILO
4 months
2 Acre Farm for Sale in Kiwangwa, Bagamoyo
TZS 1,500,000
2 Acre Farm for Sale in Kiwangwa, Bagamoyo
Pwani
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 2 linafa kulima mazao yoyote au kufuga kisasa hata makazi pia umbali kutoka lami kilometa 3 barabara safi mpaka shamba bei sh milioni moja na laki tano kwa heka moja mawasiliano no 0714121506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana
TZS 1,500,000
Pardon Fox
2 months
MR CHILO
4 months
Mutalemwa Juvenary
8 months
Viwanja vinauzwa
TZS 1,500,000
Viwanja vinauzwa
Pwani
Viwanja tulivyo navyo vimegawanyika katika makundi (3) Kundi la kwanza. Ukubwa ni futi 50 kwa 40 Vipo barabarani kabisa. Umeme na maji vyote vipo Bei ni tsh Million 3 Kundi la pili. Ukubwa ni futi 50 kwa 40 Vipo kwenye barabara ya mtaa mbali kidogo na barabara kuu. Umeme na maji vyote vipo Bei ni tsh Million 2 na laki 5 Kundi la tatu. Ukubwa ni futi 50 kwa 4...
TZS 1,500,000
MR CHILO
1 month
Rahimu Ally
1 year
Nauza shamba
1 month
MR CHILO
4 months
Nauza shamba
1 month
50 Acre Farm for Sale in Kiwangwa, Bagamoyo
TZS 700,000
50 Acre Farm for Sale in Kiwangwa, Bagamoyo
Pwani
SHAMBA LINAPATIKANA KIWANGWA - BAGAMOYO Linauzwa shamba lenye ukubwa wa *hekari 50*. *Bei*: Laki 7 (700,000) kwa hekari moja *Mahali*: Kiwangwa, Bagamoyo – Mkoa wa Pwani *Umbali*: Kilomita 3 tu kutoka barabara kuu ya lami *Eneo linafaa kwa:* - Kilimo cha mazao mbalimbali - Ufugaji wa kisasa na wa kienyeji - Ujenzi wa makazi au miradi ya uwekezaji - Mazingira...
TZS 700,000
Lilian Clement
1 year
MR CHILO
3 months
100 Acre Land For Sale at Chalinze, Bagamoyo
TZS 500,000
100 Acre Land For Sale at Chalinze, Bagamoyo
Pwani
Shamba linauzwa lipo kijiji cha bago kata ya kiwangwa halimashauli ya chalinze wilaya ya bagamoyo linaukubwa wa heka 100 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa umbali kutoka lami kilometa 9 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 whatsapp ipo bei sh laki tano kwa heka moja kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana
TZS 500,000
Javina Milinga
1 year
Shamba ekari 150
TZS 500,000
Shamba ekari 150
Pwani
NAUZA SHAMBA EKARI 150 LIPO BAGAMOYO KIWANGWA SHAMBA NI ZURI SANA KWA KILIMO CHA MAHINDI,MIHOGO,NANASI N.K BEI NI LAKI TANO KWA EKARI MOJA(500000)
TZS 500,000
Mr. Disuza
3 years
Pro
Adam jazile
2 years