399 Land For Sale in Tanzania
Discover a vast selection of new and used Land for sale in Tanzania, find your perfect match at unbeatable price in Tanzania. Shop now!
There was problem loading your listings, please try to refresh this page
Refresh
Muharami Kandia
2 years
KIWANJA KINAUZWA
TZS 8,500,000
KIWANJA KINAUZWA
Dodoma
kiwanja kinauzwa kipo msalato, kimepimwa, kimelipiwa gharama za upimaji,huduma za jamii zote zipo, utasaidiwa kupata hati, eneo ni tambalale taarifa za kiwanja kwenye picha hapo juu zaidi
TZS 8,500,000
Pro
rickrealestatetz
4 weeks
Pro
rickrealestatetz
4 weeks
Pro
rickrealestatetz
4 weeks
Simons Real Estate Development SRED
1 year
Shamba Linauzwa
TZS 8,000,000
Shamba Linauzwa
Pwani
Ekari 20 za shamba zinauzwa Bagamoyo. Linafaa Kwa kupima viwanja vya makazi au kiwanda. Bei ni kwa kila ekari moja
TZS 8,000,000
John Charles
10 months
Eneo la hekari 3 linauzwa Kigamboni
TZS 8,000,000
Eneo la hekari 3 linauzwa Kigamboni
Dar es Salaam
ENEO LA HEKARI 3 LINAUZWA KIGAMBONI Ni tambalale, majirani wamejenga kisasa, kuna umeme, maji shule zahanati na soko. Eneo linafaa kwa makazi na nyumba za biashara kujenga nyumba za kupangisha na maflemu ya biashara. Enelo lipo umbali wa nusu kilometa kutoka kituo cha basi. KILA HEKARI BEI MILIONI 8
TZS 8,000,000
John Charles
10 months
Viwanja vinauzwa Gezauloke Kigamboni
TZS 8,000,000
Viwanja vinauzwa Gezauloke Kigamboni
Dar es Salaam
Tuna miradi mipya ya vowanja Kigamboni simu 0659962452 Gezaulole Mita 20kwa15 bei milioni 8 Dege mita 20kwa15 bei milioni 7 Cheka mita 17kwa16 milioni 4 Cheka mita 25kwa20 bei milioni 10 Miradi yote imefikia na huduma kama maji umeme, shule n.k. Kwa maelezo zaidi tupogie simu 0659962452 au fika ofisini kwetu Kibada Kigamboni
TZS 8,000,000
Hafsa
2 years
Emmanuel John Mosha
9 months
Plot with title Deed for sale
TZS 7,500,000
Plot with title Deed for sale
Dodoma
Plot No 147,Block K for sale. Location:-Mahungu Dodoma. Size:-450sqm Status:-Surveyed Plot Distance from Singida/Mwanza Road <<500metres 7.5Km from City. Title Deed. Electricity & available near to the plot. Good neighborhood. More info:-+255769619980 ©Njiwa Real Estate &Co.Ltd.
TZS 7,500,000
Pro
Adam jazile
1 year
Shamba la ekari 3 linauzwa bagamoyo
TZS 7,500,000
Shamba la ekari 3 linauzwa bagamoyo
Pwani
SHAMBA LA EKARI 3 LINAUZWA MWAVI FUKAYOSI Lipo umbali wa kilometa 1 kutoka main load ya bagamoyo msata kila ekari 1 inauzwa shilingi milioni 2 na nusu shamba ni zuri sana unaweza ukapanda mazao yoyote yale kama vile nanasi, miembe ,migomba,korosho,nazi,papai,mahindi,nk
TZS 7,500,000
Excela Joshua
11 months
KIWANJA KINAUZWA NA BANK ISAKALILO IRINGA MJINI
TZS 7,500,000
KIWANJA KINAUZWA NA BANK ISAKALILO IRINGA MJINI
Iringa
KIWANJA KINAUZWA NA BANK ISAKALILO, IRINGA MJINI LOC: ISAKALILO, IRINGA MJINI AREA :SQM 289 PRICE : MIL 7.5 UMILIKI : MKATABA WA SERIKALI YA MTAA CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excela_and_properties Kujiunga na group let la Whatsapp gusa hii link: https://chat.whatsapp...
TZS 7,500,000
Excela Joshua
1 year
ENEO LINA MITI YA BIASHARA LINAUZWA NA BANK MOROGORO
TZS 7,000,000
ENEO LINA MITI YA BIASHARA LINAUZWA NA BANK MOROGORO
Morogoro
ENEO ZURI LIKO BARABARANI LINA MITI YA MISEDELE, MBAO, KARATASI, VIBERITI, TOOTHPICK N.K LINAUZWA NA BANK SOWETO, KIROKA MAENEO YA DIOVUVA MOROGORO LOC :SOWETO, KIROKA MAENEO YA DIOVUVA MOROGORO AREA :SQM 2200 PRICE : MIL 7 UMILIKI : MKATABA WA MAUZIANO. CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255...
TZS 7,000,000
Pro
rickrealestatetz
3 months
Excela Joshua
11 months
KIWANJA KIKUBWA SANA KINAUZWA NA BANK MKULANGA
TZS 6,500,000
KIWANJA KIKUBWA SANA KINAUZWA NA BANK MKULANGA
Pwani
KIWANJA KIKUBWA SANA KINAUZWA NA BANK LOCATION: KIKO MKWALIA KITUMBO MKULANGA. UMBALI WA KILOMITA TATU TOKA MAIN ROAD UKUBWA NI EKA 1¼ BEI: SHILINGI MILIONI 6.5 UMILIKI WAKE NI MKATABA WA MAUZIANO CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excela_and_properties Kujiunga na group l...
TZS 6,500,000
Excela Joshua
9 months
Pro
rickrealestatetz
3 months
Pro
Rachel James
1 year
KIGAMBONI A TRUE HOT CAKE
TZS 6,000,000
KIGAMBONI A TRUE HOT CAKE
Dar es Salaam
Building Dreams: Kigamboni's Transformative Development Plan Unveiled! Witness the city's ambitious three-phase initiative, commencing in 2011 and targeted for completion by 2030. With a mesmerizing blueprint, Kigamboni emerges with a vibrant skyline encompassing diverse zones: 1: residential (36.2%) 2: Industry ( 7.7 % ) 3: touristic (8.3%) 4: international...
TZS 6,000,000
Beastus kway
1 week
Pro
rickrealestatetz
2 months
Pro
rickrealestatetz
1 month
hans john
1 year
Kiwanja kimepimwa
TZS 5,000,000
Kiwanja kimepimwa
Dar es Salaam
1.Kiwanja Kipo Wilaya ya Kigamboni,Kata ya Kisarawe 2,mtaa wa Mwasonga 2.Kina eneo lenye ukubwa mita za mraba 551 3.Nyaraka zote muhimu zipo
TZS 5,000,000
Giovanni Palermo
2 years
Alphonce Kamisa
2 years
SHAMBA REAL ESTATE FOR SALE IN KIWANGWA
TZS 5,000,000
SHAMBA REAL ESTATE FOR SALE IN KIWANGWA
Pwani
Shamba lipo Kiwangwa eneo linaloitwa Bago katika kijiji cha Msinune. Lina ukubwa wa takriban eka mbili (02) kasoro hivi. Jirani n shamba ipo Shule ya Msingi Msinune. Barabara ya vumbi inafika hadi shambani na gari zinafika kiurahisi. Umbali kutoka shambani hadi barabara ya lami inayotoka Bagamoyo kuelekea Msata ni kama Kilometa 1 hivi. Linafaa kwa kilimo cha...
TZS 5,000,000
Land solution
2 years
Mrisho Selemani
2 years