Dawa ya baridi yabisi(ARTHRITIS)

TZS 25,000
Health, Beauty & Fitness
2 years
Tanzania
Dar es Salaam
Temeke
1883 views
SKU: 937
Published 2 years ago by Ahmadi Luonyo
TZS 25,000
Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
1883 item views
Baridi yabisi ni mkusanyiko wa maradhi yanayotesa watu wengi katika siku za hivi karibuni maradhi haya ni makali kiasi kwamba humtesa mtu na kumfanya kuwa mlemavu na hata kupelekea kifo wakati mwingine
NINI HUSABABISA MARADHI HAYA
Ni huwepo wa sumu nyingi za tindikali mbaya katika mwili uric acidi wakati mwingine ni maambukizi ya bacteria virusi na matatizo ya kinasaba
URIC ACID
Ni tindikali ambayo inatengenezwa mwilini kutokana na mazoea ya kula vyakula vya nyama na mafuta ya wanyama seli hai za mwili zinapokufa pamoja na vyakula na vinywaji vingine
INATOKEAJE VIUNGO KUUMA NA KUVIMBA
Kadri uric acid zinapotokea mwilini ndipo ndipo damu uzoofishwa nguvu take yakiutendaji na misuli ushambuliwa na vipenyo vyake huziba hivyo uric acid huwasha na kuelekea katika minofu sehemu ambazo damu hazifiki kwa kiwango kinachotakiwa Read more

Description

Baridi yabisi ni mkusanyiko wa maradhi yanayotesa watu wengi katika siku za hivi karibuni maradhi haya ni makali kiasi kwamba humtesa mtu na kumfanya kuwa mlemavu na hata kupelekea kifo wakati mwingine
NINI HUSABABISA MARADHI HAYA
Ni huwepo wa sumu nyingi za tindikali mbaya katika mwili uric acidi wakati mwingine ni maambukizi ya bacteria virusi na matatizo ya kinasaba
URIC ACID
Ni tindikali ambayo inatengenezwa mwilini kutokana na mazoea ya kula vyakula vya nyama na mafuta ya wanyama seli hai za mwili zinapokufa pamoja na vyakula na vinywaji vingine
INATOKEAJE VIUNGO KUUMA NA KUVIMBA
Kadri uric acid zinapotokea mwilini ndipo ndipo damu uzoofishwa nguvu take yakiutendaji na misuli ushambuliwa na vipenyo vyake huziba hivyo uric acid huwasha na kuelekea katika minofu sehemu ambazo damu hazifiki kwa kiwango kinachotakiwa

Safety Tips

  • Never make a payment or provide personal information until you have verified the seller and the electronic device in person.
  • Be cautious of sellers asking for advance payments before you meet and inspect the device.
  • Always test the electronic device to ensure it is fully functional before making a purchase learn about device faults on this page.
  • Make sure to meet in a safe, public place when dealing with sellers.
Print
Report
Are you a professional seller? Create an account