Eneo La Biashara Linauzwa Wilaya Ya Kigamboni, Dar Es Salaam

Land 69 views New Sell ID: 7668
TZS 10,000,000
Make price offer

Published on 2024/08/23

Description

Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi, kiwanda cha saruji(sementi), mahoteli, fukwe,vituo vya mafuta,viwanda vya matofali,n.k. Eneo lipo km30 kutoka feri, Kigamboni, Kitongoji cha kwa Morisi, njiapanda beach mpakani na kata ya Kimbiji. Eneo lina ukubwa wa mita 20*20.Umeme upo jirani (nguzo moja).Maji yana patikana bila shida. Eneo linafaa sana kwa uwekezaji wa sasa ama baadaye kwani lipo mahali bora sana kibiashara. Eneo ni bora kabisa kwa: Duka la vifaa vya ujenzi, super market ndogo, hoteli, mgahawa, baa, fremu za maduka, duka la nafaka, mashine ya kusa...

Location

Kimbiji,Kwa Morisi
Kigamboni
Dar es Salaam
Tanzania
Get directions →
068538xxxx Send Message
jeremiah muguju
jeremiah muguju
1 active listings
Last online 4 months ago
Registered for 4+ months
Tanzania
068538xxxx
Seller's profile All seller items (1)

Be careful!

Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement.
No serious private advertisers ask for a down payment before you meet.
Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
Report listing
068538xxxx Send message
Are you a professional seller? Create an account