ENEO LA HEKARI 3 LINAUZWA KIGAMBONI
Ni tambalale, majirani wamejenga kisasa, kuna umeme, maji shule zahanati na soko. Eneo linafaa kwa makazi na nyumba za biashara kujenga nyumba za kupangisha na maflemu ya biashara. Enelo lipo umbali wa nusu kilometa kutoka kituo cha basi. KILA HEKARI BEI MILIONI 8