*Tabata Sigara ( Baracuda) karibu na magorofa ya sigara
* Karibu kabisa na main road
*Eneo lipo ndani ya fence
na kuna frame nje
* Kuna faa kwa makazi au biashara ya apartments
* Eneo lipo kwenye corner
* Eneo lina documents zote
* Bei ni Tsh 90M negotiable
* Ukubwa sqm 635
* Muuzaji ni mimi mwenyewe hakuna mtu kati