VIWANJA VINAUZWA KIBAHA-KWA MFIPA/GALAGAZA "Nunua ardhi sasa-wakiwa bado hawajauona thamani yake," Hivi viwanja vipo KIBAHA-KWA MFIPA/ GALAGAZA,unaweza kujenga nyumba za makazi au matumizi mengine kutokana maitaji yako. Miondombinu yote kama maji,umeme barabara na huduma zote za kijamii zinapatikana 👉 KIBAHA-KWA MFIPA-GALAGAZA Size: 20 x 20...........Bei Mil...
Nyumba Inauzwa – Kimara, Dar es Salaam Bei: TZS 65,000,000 (Inayoweza kujadiliwa) Ukubwa wa Eneo: 25x25 sqm (Jumla sqm 650) Umiliki: Hati safi Hii ni nyumba ya makazi iliyojengwa kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 25x25 sqm kilichopo Kimara, Dar es Salaam. Eneo lina uwanja mpana unaofaa kwa upanuzi wa baadaye au bustani. Umeme na maji vimeunganishwa, na mtaa ni...
🏡 VIWANJA MBEZI MARAMBA MAWILI – TSH MILIONI 10 KILA KIMOJA 📞 PIGA SIMU SASA HIVI: 0716 929 703 / 0653 358 435 💬 GUSA LINK Tuchat WhatsApp: 👉 https://wa.me/255625901623 📏 UKUBWA: 20m x 20m VIPO VIWANJA VIWILI PRICE/BEI TSHS MILION 10 ✅ MITA CHACHE KUTOKA BARABARA KUU ✅ HATI YA SERIKALI YA MTAA 🚗 KUPELEKWA SITE : TSH 25,000/= USKOSE NAFASI HII YA KUMILIKI KIW...
Shamba linauzwa lipo mbwewe lenye ukubwa wa hekari 50 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu bei ni million moja na laki 5 kwa hekari moja kwa maelezo zaid pga 0659628665
Nyumba Inauzwa milioni 190. Ipo Kigamboni kibada Dar es salaam. Vyumba 3 Master 2 Sitting room jiko Dining room na Public Toilet. Nyumba Ipo kwenye mtaa wa matajiri. Nyumba Ina Tiles na jypsum. Nyumba Ina maji safi na umeme. Pia Nyumba Ina gereji. Nyumba full A/C. Kiwanja Sqm. 800 Hati safi ya Wizara.