Chanzo cha tatizo hili huanzia kwenye figo.figo huenda zikawa zinatengeneza mkojo mwingi zaidi ya kiwango kinachoitajika.homoni ADH huambia figo kutengeneza mkojo mchache kiwango cha kawaida na Mara nyingi homoni hiyo hupungua nyakati za usiku.wakati unapotokwa na mkojo kitandani huenda homoni za ADH zimepungua ama figo hazifanyi kazi kama inavyostaili
Kiwango cha sukari pia huathiri kiwango cha homoni za ADH,hatua zinazoifanya figo kutengeneza kiwango kikubwa cha mkojo unapokuwa na mkojo mwingi kibofu chako hushindwa kuzuia na hivyo basi mkojo hutoka Mara kwa mara.
Mwanamke hanaweza kuwa na tatizo la kukojoa kitandani iwapo anatatizo la kibofu cha mkojo na kushindwa kujizuia.pia kuna maambukizi ya njia ya mk...
Chanzo cha tatizo hili huanzia kwenye figo.figo huenda zikawa zinatengeneza mkojo mwingi zaidi ya kiwango kinachoitajika.homoni ADH huambia figo kutengeneza mkojo mchache kiwango cha kawaida na Mara nyingi homoni hiyo hupungua nyakati za usiku.wakati unapotokwa na mkojo kitandani huenda homoni za ADH zimepungua ama figo hazifanyi kazi kama inavyostaili
Kiwango cha sukari pia huathiri kiwango cha homoni za ADH,hatua zinazoifanya figo kutengeneza kiwango kikubwa cha mkojo unapokuwa na mkojo mwingi kibofu chako hushindwa kuzuia na hivyo basi mkojo hutoka Mara kwa mara.
Mwanamke hanaweza kuwa na tatizo la kukojoa kitandani iwapo anatatizo la kibofu cha mkojo na kushindwa kujizuia.pia kuna maambukizi ya njia ya mkojo ambayo yanaweza kumfanya mtu zima kukojoa kitandani.kitamaduni tatizo la kutokwa na mkojo kitandani hudaiwa kusababishwa na pepo wabaya au maahetwani lakini kwamba kutokwa na mkojo ni ugonjwa ambao unapojulikana huwezi kushirikishwa na pepo au mashetwani