Zijue Faida Zitakazokuepusha na Kukutibu Presha na Magonjwa ya Moyo Kwa Haraka.
MAGONJWA YA MOYO /SHINIKIZO LA DAMU/ PRESHA YA KUPANDA & KUSHUKA/SHAMBULIO LA MOYO/CHEMBE YA MOYO/MOYO KUTANUKA/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO/KUZIBA KWA VISHIPA VYA DAMU.
Magonjwa ya moyo ni muunganiko wa magonjwa yanayoshambulia moyo, vishipa vipelekavyo/vitoavyo damu kwenye moyo na maumbile yanayotengeneza moyo kwa ujumla(Structural and vessels disease).
Moja ya ugonjwa wa moyo unaokuja kwa kasi sana nchini ni ⤵;
↪Kupanda kwa shinikizo la juu la damu/Presha ya kupanda(high blood pressure/Hypertension) na kushuka kwa shinikizo la damu (Presha ya kushuka/Hypotension).
Presha ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu,msu...

Presha ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu,msukumo huu ukiwa mkubwa au mdogo kuliko unaohitajika mwilini ndio huitwa presha ya kupanda au kushuka.
Kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) sababu kuu za Presha pamoja na magonjwa ya moyo zinatajwa kuwa ni pamoja na;
????Ulaji usiofaa, ulaji usiofata taratibu za kitabibu ikiwa ni pamoja na kula chakula kingi baada ya saa kumi na moja jioni au kula chakula kingi katika mlo mmoja kuliko kiwango kinachohitajika kwa siku (RDA).
???? Ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi, ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi au chumvi nyingi katika mlo wako.
????Kutokula mboga mboga za majani pamoja na matunda ambapo kitaalamu inashauriwa nusu ya kila mlo wako iwe mboga mboga za majani pamoja na matunda n.k
*DALILI ZA MAGONJWA YA MOYO & PRESHA*
Zijue dalili ziletwazo na magonjwa ya moyo pamoja na presha ni ;
▶️Maumivu ya kifua mithili ya chembe ya moyo/chembe ya moyo.
▶️ Maumivu ya kifua kuzunguka hadi kwenye bega la kushoto.
▶️ Kuvimba kwa miguu na mikono.
▶️ Mapigo ya moyo kuwa ya chini sana au kasi sana.
▶️ Moyo kwenda mbio sana na kukosa pumzi hasaa zaidi unapotembea au kufanya shughuli zako ndogo ndogo/moyo kudunda kama mtu apiga dogoro kwa chini hasaa wakati wa kulala.
▶️ Mwili kuishiwa nguvu.
▶️ Kupata kizunguzungu na kuzimia.
▶️ Kupata ganzi kwenye miguu na mikono.
▶️Kutokwa na jasho jingi sana n.k
*MATIBABU*
-Ni vyema kwenda Hospital kwanza kujua tatizo lako na chanzo chake kabla ya kuanza kutumia dawa.
-Ipo mimea tiba yenye uwezo mkubwa wa kutibu tatizo la presha ya kupanda/kushuka na magonjwa ya moyo kwa ufanisi mkubwa sana.
-Dawa hii ya kulamba hutumiwa na wagonjwa wa presha kwa wastani wa siku 6 hadi 10 pekee (Dozi moja) na hufanikisha kuwaacha salama na kuwaepusha na matumizi ya vidonge ya kila siku.
-Mimea hii huweza kuondoa tatizo la presha na kutoa matokeo ya haraka sana kuliko matarajio ya mtumiaji.
*NJIA ZA KUEPUKA NA KUPUNGUZA HATARI ZA MATATIZO YA MOYO NA PRESHA*
▶️ Epuka kutumia tumbaku(sigara)
▶️ Punguza kiwango cha chumvi kwenye mlo wako.
▶️ Kula mbogamboga na matunda kwa wingi.
▶️ Fanya mazoezi/Shughulisha mwili.
▶️Punguza ulaji wa vyakula vya kukaanga(vitumiavyo mafuta mengi).
▶️ Epuka unywaji wa pombe.
▶️ Jitibie Kisukari.
▶️ Rekebisha uzito wako ikiwa uko juu na kiasi cha mafuta mwilini (BMI)
▶️ Kuwa na muda sahihi wa kula chakula chako.
▶️ Punguza matumizi makubwa ya Wanga katika mlo wako.
Kwa Ushauri,Maoni pamoja na Msaada wa kimatibabu wasiliana nami kwa:⤵️
Contacts
Nutr.Sood
Calls/Sms/Whatsaap: 0678640098.
Morogoro, mjini & Ilala Dsm.