Presha ya kupanda/Presha ya kushuka/Dalili za Presha/Tiba Asili Ya Presha.

Health - Beauty - Fitness 1610 views New Buy ID: 2193
TZS 69,999
Make price offer

Published on 2023/06/27

Description

Presha(Shinikizo la Damu) ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Aina za Presha. Zipo aina kuu mbili za presha, yaani; (I) PRESHA YA KUPANDA (II) PRESHA YA KUSHUKA. PRESHA YA KUPANDA. Presha ya kupanda ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya damu (artery) kuwa mkubwa kuliko njia ya mishipa hiyo. Presha itaitwa kuwa presha ya kupanda ikiwa iko juu zaidi ya presha ya kawaida ambayo ni 120/80mmHg au kwa lugha nyingine wataalam wanasema ikiwa juu ya 140mmHg systolic blood pressure.Presha yaweza kupanda mpaka kufikia 240/120mmHg. Sababu Kuu Za Kupanda Kwa Presha. (i) Utumiaji wa chumvi nyingi kw...

Location

3000
Ilala
Dar es Salaam
Tanzania
Get directions →
067864xxxx Send message
Nutr Sood
Nutr Sood
3 active listings
Last online 8 months ago
Registered for 10+ months
3000, Morogoro, Morogoro, Morogoro, Tanzania
067864xxxx 062143xxxx
Seller's profile All seller items (3) www.thecotexmedicine.com/?m=1

Be careful!

Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement.
No serious private advertisers ask for a down payment before you meet.
Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
Report listing

067864xxxx Send message
Are you a professional seller? Create an account