AMEG ELECTRIC BIC

TZS 1,300,000
Pikipiki
1 year
Tanzania
Dar es Salaam
Temeke
442 views
SKU: 3878
Published 1 year ago by Dias Pius
TZS 1,300,000
In Pikipiki category
Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
442 item views
Pikipiki ya umeme imetumika miezi miwili tu, unapata na helmet bure. Unaweza washa kwa remote na funguo pia. Unapewa funguo mbili, moja ni spare mpya kabisa. Very classic. Nauza kwa bei ya hasara kabisa ingawa inafanya kazi vizuri, hilo vumbi kwenye picha lisikichanganye njoo ujionee.Changamkia fursa na pia maongezi yapo. Read more

Specs

Engine Capacity CC 100
Gearbox Automatic
Year 2023
Color White
Fuel Type Electric
Mileage Km 835
Seats 2-seater

Description

Pikipiki ya umeme imetumika miezi miwili tu, unapata na helmet bure. Unaweza washa kwa remote na funguo pia. Unapewa funguo mbili, moja ni spare mpya kabisa. Very classic. Nauza kwa bei ya hasara kabisa ingawa inafanya kazi vizuri, hilo vumbi kwenye picha lisikichanganye njoo ujionee.Changamkia fursa na pia maongezi yapo.

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account