TRí E2 ni bajaji ya umeme ya kisasa, iliyotengenezwa kwa ajili ya matumizi ya kila siku ya biashara na usafirishaji. Haina matumizi ya mafuta – unachaji kwa 3,000 TZS na inakupeleka hadi 100 km kwa chaji moja. Sifa kuu: Umeme 100% Betri ya 8 kWh – uwezo wa kwenda zaidi ya 100 km kwa chaji moja Gharama ndogo ya uendeshaji – kuchaji ni 3,000 TZS pekee Huduma y...
Contact us @ Allied Technologies LLC for the purchase and deliver of your good working new condition UTV's and ATV's. 2022 Can-Am Spyder F3-S SPECIAL EDITION 2023 Can-Am Spyder F3-S SPECIAL EDITION 2022 CF MOTO 800CC ATV 4x4 CFORCE 800 XC 2023 CF MOTO ATV CFORCE 800 XC E-Mail : [email protected] WhatsApp : +17622334358
INAUZWA: PIKIPIKI USED Aina: Boxer BM CC: 125 Hali: Imetumika lakini iko katika hali nzuri sana Bei: TZS 2,250,000 (Milioni Mbili na Laki mbili na nusu) Tayari kwa matumizi, inawaka vizuri, haijawahi pata ajali. Imehifadhiwa vizuri na iko tayari kuingia barabarani. Wasiliana nami kwa maelezo zaidi au kuona pikipiki: [0611200803] Usikose hii ofa – pikipiki im...
???? INAUZWA: PIKIPIKI USED ???? Aina: TVS STAR HLX CC: 125 Hali: Imetumika lakini iko katika hali nzuri sana Bei: TZS 1,600,000 (Milioni Moja na Laki sita) ???? Tayari kwa matumizi, inawaka vizuri, haijawahi pata ajali. ???? Imehifadhiwa vizuri na iko tayari kuingia barabarani. ???? Wasiliana nami kwa maelezo zaidi au kuona pikipiki: ???? [0611200803] Usiko...
If we talk about TVS King engine specs then the Gasoline engine displacement is 199.26 cc. King is available with Manual transmission. The King is a 4 Seater Tricycle and has a length of 2647 mm the width of 1329 mm, and a wheelbase of 1990 mm. along with a ground clearance of 165 mm. WELCOME:+255749007472
Piki piki inauzwa.Ipo kwenye hali nzuri sana.Haijawah funguliwa engine.Imekua ikitumika kwa ajili ya delivery tu.Ni piki piki ya kampuni.Ofis zetu zipo kkoo na mwananyamala.Karibuni kwa maelezo zaidi
Guta Za Kuchaji za Elemo Zinapatikana Dukani Kwetu Temeke VETENARI kwa Bei ya Ofa 3,200,000 Inatembea Hadi kms 75 ikiwa full Charged Inabeba Hadi Kgs 500 Warranty ya body Mwaka mmoja Warranty ya battery miaka mitatu