Guest house inauzwa iko momboTanga

TZS 175,000,000
Nyumba Zinauzwa
3 months
Tanzania
Tanga
Makuyuni
Mombo Stand Mpya Mafuriko
79 views
SKU: 7922
Published 3 months ago by Grace Jonsson
TZS 175,000,000
In Nyumba Zinauzwa category
Mombo Stand Mpya Mafuriko, Makuyuni, Tanga, Tanzania
Get directions →
79 item views
Guest house inauzwa, INA HATI MILIKI YA WIZARA YA ARDHI. Ni nyumba 2 ndani ya fensi moja, nyumba ya kwanza ukiingia getini upande wa kulia ni self kila kitu ndani,ina bedroom 2, tv room, na fremu ya Duka, nyumba kubwa ndani ya geti mkono wa kushoto ni self kila ndani vyumba 7, chumba au kaunta ya vinywaji,sebule kubwa yakwekea wateja tv! Nyumba inauzuwa million 175 na mazungumzo yapo,
WhatsApp +255 718 549 440
Email [email protected]
Karibuni sana Read more

Specs

Property Size Sq Ft 471
Bedrooms 6-Bedrooms or More
Bathroom 5-Bathrooms or More

Description

Guest house inauzwa, INA HATI MILIKI YA WIZARA YA ARDHI. Ni nyumba 2 ndani ya fensi moja, nyumba ya kwanza ukiingia getini upande wa kulia ni self kila kitu ndani,ina bedroom 2, tv room, na fremu ya Duka, nyumba kubwa ndani ya geti mkono wa kushoto ni self kila ndani vyumba 7, chumba au kaunta ya vinywaji,sebule kubwa yakwekea wateja tv! Nyumba inauzuwa million 175 na mazungumzo yapo,
WhatsApp +255 718 549 440
Email [email protected]
Karibuni sana

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account