Nyumba kinyerezi kibaga tabata inauzwa kwa mnada. Bei 400milion. In vyumba nane vyote self. Gym,kitchen,siitiing room2,tv room na kadhalika. Hati miliki. Sqm 1000 eneo ukubwa. Kutoka lami ya songas. Dakika 1.
Read more
Specs
Property Size Sq Ft1000
Bedrooms6-Bedrooms or More
Bathroom3-Bathrooms
AmenitiesPool
Description
Nyumba kinyerezi kibaga tabata inauzwa kwa mnada. Bei 400milion. In vyumba nane vyote self. Gym,kitchen,siitiing room2,tv room na kadhalika. Hati miliki. Sqm 1000 eneo ukubwa. Kutoka lami ya songas. Dakika 1.
.FOR SALE | 3BEDROOM WITH A POOL | ARUSHA TANZANIA LISTING. USA River Momella Rd; Three spacious rooms all ensuites one servant's quarters. Open airy kitchen & pantry, dining and stunning living room. Also swimming pool, an outside lounge area, generator room (with a stand by generator),fire pit, veg garden, and lots of fruit trees plus ample parking. ✓T...
HOSTEL INAUZWA MALIMBE CHUONI ( SAUT ) -ina vyumba 32 vya kulala vyote ni self contained -ukubwa wa kiwanja ni 522 SQM -ina hati miliki ya wizara NB:- -vyumba 8 kila kimoja kodi 800,000 kwa mwaka -vyumba 4 kila kimoja kodi Mil 1.2 kwa mwaka -vyumba 20 kila kimoja kodi Mil 1 kwa mwaka
NYUMBA INAUZWA MILIONI 36 IPO CHANIKA MWISHO STAND WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM ENEO: SQM 400 CALLS/WHATSAPP 0747 847 888 INAVYUMBA VITATU (KIMOJA MASTER) SITING ROOM, DINNING ROOM, INA JIKO, STORE, MADIRISHA YA VIOO NA PUBLIC TOILET MAJI YAPO UMEME UPO HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO BEI MIL 36 TU! Calls/WhatsApp 0747 847 888 TUNAHUSIKA NA UUZAJI WA NYUMBA, VI...
#NYUMBA_YA_GOLOFA_INAUZWA# MAHALI SALASALA UKUBWA SQM 600 BEI INAUZWA ML 200 Maongezi yapo INA VYUMBA 3 SEBULE DINNING JIKO STOO KWA MAELEZO ZAIDI @dalalimbezibeach_steven 0716733420 0789801905/ WhatsApp 0745366724 Note: Mwenye nyumba kanyooka sana hana longolongo Labda wewe ndo uzingue tu
NYUMBA INAUZWA BUSWELU WILAYANI -ina vyumba vinne vya kulala ( viwili ni masterbed room ), sebule, jiko, stoo, dinning na public toilet -Pia kuna servant quater ya chumba kimoja self contained, sebule na jiko -ukubwa wa kiwanja ni 640 Sqm -kiwanja kimepimwa tayari -bei Milioni 170
Nyumba ya vyumba viwili (2) vikubwa, Sebule kubwa na jiko na choo. Madirisha safi makubwa na mapya ya Aluminium. Ukubwa wa eneo ni hekari moja kasoro, lipo karibu kabisa na barabara inayoelekea kivuko cha Busisi.
Nyumba inauzwa buswelu -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni 40x30 =1,200 sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 75
Anga Apartments 2 Bedrooms – Own Your Slice of Paradise in Zanzibar Starting from $185,000 – Fully furnished with high-end appliances, VAT included. Step into luxury with the Anga Apartments, where modern elegance meets tropical living. This spacious 2-bedroom apartment at Vela Paje offers everything you need for a serene getaway or a smart investment opport...
SHULE INAUZWA DODOMA MJINI -Mahali - ZUZU MTAA WA PINDA Jirani na RING ROAD Shule ina madarasa manne (4), Ofisi 4, numba na vyumba vitatu na vyoo vyenye matundu 12. Eneo - Square meter 33,260 Pamepimwa na kuna kibali cha shule/taasisi. Bei - Million 230