Bei ya Other mpya na used kutoka kwa wauzaji mbalimbali Dar es Salaam Tanzania. Find great deals on different products from verified sellers on Zoom Tanzania.
Hosteli inauzwa malimbe chuoni ( SAUT ) -ina vyumba 32 vya kulala vyote ni self contained -ukubwa wa kiwanja ni 522 SQM -ina hati miliki ya wizara -bei Mil 700 -maongezi yapo NB:- -vyumba 8 kila kimoja kodi 800,000 kwa mwaka -vyumba 4 kila kimoja kodi Mil 1.2 kwa mwaka -vyumba 20 kila kimoja kodi Mil 1 kwa mwaka