Msingi wa ghorofa ya ghorofa tatu unauzwa Chanika.
Floor ya kwanza imekamilika. Bado kufunga slab tu.
Nyumba ina urefu wa mita 15 na upana wa mita 12.
Read more
Specs
Bedrooms5-Bedrooms
Bathroom5-Bathrooms or More
Description
Msingi wa ghorofa ya ghorofa tatu unauzwa Chanika.
Floor ya kwanza imekamilika. Bado kufunga slab tu.
Nyumba ina urefu wa mita 15 na upana wa mita 12.
NYUMBA INAUZWA – CHASIMBA* Inauzwa nyumba kubwa na nzuri iliyopo maeneo ya *Chasimba*. Inafaa kwa makazi au uwekezaji kutokana na ukubwa na mpangilio wake wa vyumba. *Sifa za nyumba:* 🏠 Vyumba 7 vya kulala 🚽 Vyoo 4 💧 Maji na umeme vinapatikana 🧱 Imezungushiwa ukuta kwa usalama zaidi 📌 Eneo linafikika kwa urahisi *Bei*: TSh *60,000,000* (maongezi yapo) *Conta...
HOSTEL INAUZWA MALIMBE CHUONI ( SAUT ) -ina vyumba 32 vya kulala vyote ni self contained -ukubwa wa kiwanja ni 522 SQM -ina hati miliki ya wizara NB:- -vyumba 8 kila kimoja kodi 800,000 kwa mwaka -vyumba 4 kila kimoja kodi Mil 1.2 kwa mwaka -vyumba 20 kila kimoja kodi Mil 1 kwa mwaka
🏡 Goba: New Prime 5-Bedroom House for Sale! Quick Sale! Spacious 5-bedroom house in Goba, located right near the main road for easy access. Size: 750 Sqm plot. Documentation: Title Deed available. Price: TSh 850 Million. Don't wait! Contact us to arrange a viewing today: 📞 0688 412 890
Pgale zuri lina vyumba 3, sebule , master bed room choo cha pulic eneo ni sq 800 huduma zote zipo bei 40 milion maongezi lipo kimele ka pazi mapinga njia kuelekea Bagamoyo call 0754292666
New project brand New luxury apartments for sale oyster bay bdrm 1/2/3 3bdrm starting price usd 384000 2bdrm starting price usd 285,000 1bdrm starting price usd 165,000 more information call wasap 0714592413 0625503976