🚨KIWANJA KIZURI CHA MAKAZI NA BIASHARA KINAUZWA HAPA OYSTERBAY DODOMA, HII NI CORNER PLOT UNAYOWEZA KUJENGA FRAME NA APARTMENTS KWA PAMOJA ✅Matumizi ni Makazi na Biashara SQM - 1000+. Kiwanja hiki ni cha kwanza Barabara mpya ya Lami ya Oysterbay - unaweza kuwekeza makazi na fremu za Maduka au Hotel🔥 Sifa za eneo.....👇 ✴️KM 1 adi ilipo mahakama kuu mpya ✴️KM ...
🌲vinapatikana kibaha Kwa Mathias 🌲Umbali ni km 5.5 kutoka barabarani..na barabara ya kwenda site ni lami 🌲Bei ni kuanzia milion 2 tu kwa ukubwa wa mita 15/15.. 🌴🌴Sehem ni tambarare.. maji, umeme, hospital, shule, nk vyote vipo karibu. 🌲Siku za kwenda site ni Kila siku piga simu au watsap 0612238874/ 0714499979 🌴🏠Karibuni sana
ml 8 sgm 650 kiwanja kipo mapinga tungutungu klomita 2 kutoka bagamoyo rd pkpk elfu 1000 umefka hiki kiwanja kinatupwa mwenyewe anashida sana kimfaacho mtu chake Maongezi yapo
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 20 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami shamba lipo kiwangwa bagamoyo bei ni laki 8 kwa heka shamba ni zuri sana na lipo sehem nzuri kwa mawasiliano zaidi piga namba 0653870009.
Nyumba Inauzwa – Kimara, Dar es Salaam Bei: TZS 65,000,000 (Inayoweza kujadiliwa) Ukubwa wa Eneo: 25x25 sqm (Jumla sqm 650) Umiliki: Hati safi Hii ni nyumba ya makazi iliyojengwa kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 25x25 sqm kilichopo Kimara, Dar es Salaam. Eneo lina uwanja mpana unaofaa kwa upanuzi wa baadaye au bustani. Umeme na maji vimeunganishwa, na mtaa ni...
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 40 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa umbali kutoka lami kilometa 4 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714 121 506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule