Hizi hapa Bidhaa mbalimbali zinazopatikana Dar es Salaam. Nunua simu, kompyuta, gari, ardhi au bidhaa yoyote mkoani Dar es Salaam kwa bei nafuu kupitia Zoom Tanzania.
-shamba ni la kwanza kutoka ziwani -panafaa kwa makazi, kilimo, ufugaji n.k -shamba lipo km 2 kutoka daraja la JPM lilipo -umeme, maji na barabara vyote vipo Bei Milioni 25