Tatizo hili limekua likiwakumba watu wengi bila wao kujua nimekuletea baadhi ya dalili zake
1.Koo kuwasha na kuhisi kama kitu kimekwama
2.Kifua kuuma
3.Kichefuchefuna mwili kuchoka
4.Kikohozi kisichoisha na kizunguzungu
5.Maumiv ya kichwa na mgongo
Moja ya madhar makubwa ya kutokutibu tatizo hili ni kupata kansa ya koo pamoja na kansa ya utumbo
Hizo ni baadhi tu ya dalili zake hivo uonapo dalili hizo fika sehem ya huduma kwa msaada zaid na kama umezunguka sana hujafanikiwa basi tutafute tuweze kukusaidia kutibu kuanzia chanzo cha tatizo na tatizo lenyew
Read more