BUSWELU ROUND ABOUT YA ILALILA KIWANJA CHA KWENYE LAMI KINAUZWA -ukubwa wa kiwanja 33x15 = 508 SQM -kiwanja kina hati miliki ya wizara -kiwanja kipo location nzuri Bei milioni 10 Kiwanja cha pili (2) kutoka kwenye lami
Nyumba inauzwa buswelu -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni 40x30 =1,200 sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 75
NYUMBA INAUZWA ????MAKULU OYSTERBAY -Nyumba ina vyumba 5 vya kulala kimoja master, sebule, dining, jiko, stoo na public toilet & bafu -KIWANJA - Square meter 446 -ina hati miliki ya wizara BEI - Million 120
NYUMBA YA KIZAMANI INAUZWA KIRUMBA -ina fremu tatu za biashara na nyumba za wapangaji -ukubwa wa kiwanja ni 33x15=495 Sqm -ina hati miliki ya wizara ☎️ 0743220097
JUMLA YA VIWANJA 127. ( vimepimwa ) VINAUZWA KISESA - MATELA -viwanja vipo KM 30 kutoka mwanza mjini -viwanja vyote vimepimwa na vina bicons -bei Milioni 300 kwa viwanja vyote 127 -umeme, maji na barabara vyote vipo -viwanja vipo mita 700 kutoka barabara ya lami
Full Furnished Apartment To rent at isamilo -ina vyumba vitatu vya kulala (vyumba viwili ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Milioni 1.2 TZS kwa mwezi -malipo ni miezi sita
Full Furnished House To rent city center mwanza -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Milioni 1.5 TZS kwa mwezi -malipo ni miezi sita
House for sale pasiansi - lumala -ina vyumba vinne vya kulala ( vitatu ni self contained ), sebule, jiko, dinning na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni Sqm 600 -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 180
SHAMBA ZURI SANA LINAUZWA -Location:- Maya maya -Ukubwa: - Acre 13 -Shamba linatazama barabara ya rough road -Shamba lipo mita 600 toka barabara ya lami -Bei Milioni 4 kwa acre ☎️ 0743220097
INAPANGISHWA #STANDALONE - Ina vyumba vinne vyakulala - Vyumba viwili ni master * Sebule kubwa - Dinning • Jiko & Stoo • Public Toilet & SimTank • SERVANT QUATER KWA NYUMA * INAJITEGEMEA NDANI YA FENSI • Kwa Mwezi 800k • Malipo kuanzia miezi sita