NYUMBA YA KIZAMANI INAUZWA NYAMANORO -nyumba ya pili kutoka barabara ya lami (airport road) -ukubwa wa kiwanja ni 30x15 =450 Sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 130 ???? 0743 220097
KIWANJA CHA KWANZA KUTOKA LAMI KINAUZWA KISESA - ISANGIJO - ukubwa wa kiwanja ni 44x32 =1,419 Sqm - kiwanja kina hati miliki ya wizara - bei Milioni 70 ???? 0743 220097
KIWANJA KINAUZWA ISAMILO INTERNATIONAL -ukubwa wa kiwanja ni Sqm 591 -kina hati miliki ya wizara -bei Milioni 150 NB:- -kiwanja kimezungukwa na barabara ya lami pande mbili ( corner plot ) Plot Namba 215, Kitalu “D” isamilo
KIWANJA CHA KWANZA LAMI KINAUZWA -Mahali - MKONZE -Kiwanja kinatazama IRINGA ROAD -km 10 tu kutoka mjini kati -Kina ukubwa wa 1599 sqm ( ni viwili viwili vimeungana) -document ni HATI Bei - 40 milioni
Full Furnished Apartment To Rent LOCATION: Nyegezi Mwanza AMENITIES Two master bedrooms Seating Room Full equipped kitchen Free Wi-Fi Back up generator Visitors reception area Parking Toilets 24 hour CCTV surveillance and security Water heater system Price per day TZS 100,000
NYUMBA INAPANGISHWA BUZURUGA -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ina heater, makabati jiko na vyumbani, CCTV camera, garden na public toilet ya njee -kodi Milioni 7 kwa mwaka -malipo miezi sita NB:- Nyumba Moja Ndani Ya Fensi ???? 0743 220097
NYUMBA INAPANGISHWA NYASAKA •Ground Floor ina vyumba viwili vya kulala vyote ni self contained, sebule, dinning, jiko na public toilet • First Floor ina vyumba vitatu vya kulala vyote ni self contained, sebule, public toilet na chumba cha kusalia Ina servant quater ya chumba x 2, stoo na public toilet • kodi Milioni 2 kwa mwezi NB:- Nyumba Moja Ndani Ya Fens...
Nyumba inapangishwa mecco mtaa kangaye -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -kodi ni Milioni 4 kwa mwaka -umeme na maji unajitegemea -familia mbili ndani ya fensi moja