ENEO KUBWA SANA LA UWEKEZAJI ????*MTUMBA*, Mji Wa Kiserikali Block DB Ukubwa - *Square meter 23,642* (Heka 6) ???? Full Documents Matumizi - *SHULE* ????Wekeza Hapa Kwa Manufaa Ya Sasa Na Baadae. Makazi Tayari Yapo, Umbali wa 1.5Km Kutoka Dar Es Salaam Road. Bei - *Million 190,000,000*
ENEO LA HEKA MBILI (2) LINAUZWA NYAMHONGOLO - BUSUBA -ukubwa wa eneo ni heka mbili (2) -kuna nyumba 2 kila nyumba ina chumba kimoja self, sebule na jiko -bei Milioni 20
KIWANJA KINAUZWA PEMBENI YA ROCK CITY MALL -ukubwa wa kiwanja ni 25x20 = Sqm 500 -kiwanja kina hati miliki mkononi -location nzuri ya apartment -bei Milioni 130 Kwenye kiwanja kuna nyumba ya kizamani
SHAMBA LA HEKA TANO (5) LINAUZWA LUGEYE -shamba linafaa kwa kilimo na ufugaji -kuna nyumba ndogo ya kizamani na kisima cha maji -bei Milioni 28 ☎️ 0743220097
KIWANJA KINAUZWA MALAIKA BEACH JIRANI NA AIRPORT -ukubwa wa kiwanja ni 2,111 SQM -hati miliki ipo mkononi -bei Tsh bilioni 1.2 -panataa kwa kujenga hotel, apartment, n.k -kiwanja kina view nzuri ya ziwa victoria
Nyumba inauzwa pasiasi mtaa lumala -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni 25x20 =500 sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 55
Kiwanja cha kwanza lami ( airport road ) kinauzwa pasiasi -kiwanja kina nyumba yenye fremu 4 na zote zina wapangaji -kiwanja kina hati miliki ya wizara Bei Milioni 35 Plot No 900, Block “A”
JENGO LINAUZWA BUSWELU -lina jumla ya vyumba 19 vyote ni self contained -ukubwa wa eneo ni 70x70 =4,900 Sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Tsh Milioni 900 -punguzo lipo ???? 0743220097
Apartment inapangishwa buswelu center -ina vyumba viwili vya kulala ( kimoja ni self ), sebule, jiko na public toilet -kodi Milioni 2 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -umeme na maji unajitegemea Nyumba ya 2 kutoka barabara ya lami 0743220097
HOSTEL INAUZWA MALIMBE CHUONI ( SAUT ) -ina vyumba 32 vya kulala vyote ni self contained -ukubwa wa kiwanja ni 522 SQM -ina hati miliki ya wizara NB:- -vyumba 8 kila kimoja kodi 800,000 kwa mwaka -vyumba 4 kila kimoja kodi Mil 1.2 kwa mwaka -vyumba 20 kila kimoja kodi Mil 1 kwa mwaka