rickrealestatetz

rickrealestatetz rickrealestatetz
Specializes in Viwanja
Rock City Mall, Mwanza, Tanzania
126 active listings
Company
Alikuwa online 5 days ago
Registered for 5 months

Bidhaa Mpya

rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 3 months
nyumba inauzwa buswelu wilayani
TZS 75,000,000
nyumba inauzwa buswelu wilayani
Mwanza
Nyumba inauzwa buswelu -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni 40x30 =1,200 sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 75
Nyumba Zinauzwa
TZS 75,000,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
nyumba inauzwa dodoma - makulu ( oysterbay )
TZS 120,000,000
nyumba inauzwa dodoma - makulu ( oysterbay )
Dodoma
NYUMBA INAUZWA ????MAKULU OYSTERBAY -Nyumba ina vyumba 5 vya kulala kimoja master, sebule, dining, jiko, stoo na public toilet & bafu -KIWANJA - Square meter 446 -ina hati miliki ya wizara BEI - Million 120
Nyumba Zinauzwa
TZS 120,000,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
nyumba ya kizamani inauzwa mwanza - kirumba
TZS 55,000,000
nyumba ya kizamani inauzwa mwanza - kirumba
Mwanza
NYUMBA YA KIZAMANI INAUZWA KIRUMBA -ina fremu tatu za biashara na nyumba za wapangaji -ukubwa wa kiwanja ni 33x15=495 Sqm -ina hati miliki ya wizara ☎️ 0743220097
Nyumba Zinauzwa
TZS 55,000,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
Pro Viwanja Mwanza Mwanza 4 months
jumla ya viwanja 127 ( vimepimwa ) vinauzwa kisesa - matela
TZS 300,000,000
jumla ya viwanja 127 ( vimepimwa ) vinauzwa kisesa - matela
Mwanza
JUMLA YA VIWANJA 127. ( vimepimwa ) VINAUZWA KISESA - MATELA -viwanja vipo KM 30 kutoka mwanza mjini -viwanja vyote vimepimwa na vina bicons -bei Milioni 300 kwa viwanja vyote 127 -umeme, maji na barabara vyote vipo -viwanja vipo mita 700 kutoka barabara ya lami
Viwanja
TZS 300,000,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
full furnished apartment to rent at isamilo
TZS 1,200,000
full furnished apartment to rent at isamilo
Mwanza
Full Furnished Apartment To rent at isamilo -ina vyumba vitatu vya kulala (vyumba viwili ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Milioni 1.2 TZS kwa mwezi -malipo ni miezi sita
Nyumba za Kupanga
TZS 1,200,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
full furnished apartment to rent at mwanza city center
TZS 1,500,000
full furnished apartment to rent at mwanza city center
Mwanza
Full Furnished House To rent city center mwanza -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -umeme na maji unajitegemea -kodi Milioni 1.5 TZS kwa mwezi -malipo ni miezi sita
Nyumba za Kupanga
TZS 1,500,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
house for sale pasiansi - lumala
TZS 180,000,000
house for sale pasiansi - lumala
Mwanza
House for sale pasiansi - lumala -ina vyumba vinne vya kulala ( vitatu ni self contained ), sebule, jiko, dinning na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni Sqm 600 -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 180
Nyumba Zinauzwa
TZS 180,000,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
Pro Viwanja Mwanza Mwanza 4 months
kiwanja kinauzwa mwanza pasiansi nyuma ya aden palace hotel
TZS 25,000,000
kiwanja kinauzwa mwanza pasiansi nyuma ya aden palace hotel
Mwanza
KIWANJA KINAUZWA PASIANSI NYUMA YA ADEN PALACE HOTEL -ukubwa wa kiwanja ni Sqm 462 -kina hati miliki ya wizara -bei Milioni 25
Viwanja
TZS 25,000,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
Pro Viwanja Dodoma Dodoma 4 months
shamba zuri sana la heka 13 linauzwa dodoma - mayamaya
TZS 4,000,000
shamba zuri sana la heka 13 linauzwa dodoma - mayamaya
Dodoma
SHAMBA ZURI SANA LINAUZWA -Location:- Maya maya -Ukubwa: - Acre 13 -Shamba linatazama barabara ya rough road -Shamba lipo mita 600 toka barabara ya lami -Bei Milioni 4 kwa acre ☎️ 0743220097
Viwanja
TZS 4,000,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
stand alone 4 bedroom house to rent at mwanza
TZS 800,000
stand alone 4 bedroom house to rent at mwanza
Mwanza
INAPANGISHWA #STANDALONE - Ina vyumba vinne vyakulala - Vyumba viwili ni master * Sebule kubwa - Dinning • Jiko & Stoo • Public Toilet & SimTank • SERVANT QUATER KWA NYUMA * INAJITEGEMEA NDANI YA FENSI • Kwa Mwezi 800k • Malipo kuanzia miezi sita
Nyumba za Kupanga
TZS 800,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
Pro Viwanja Mwanza Mwanza 4 months
eneo la uwekezaji linauzwa mwanza mjini kati mtaa wa rufiji
TZS 500,000,000
eneo la uwekezaji linauzwa mwanza mjini kati mtaa wa rufiji
Mwanza
Kiwanja kinauzwa mjini kati - rufiji -ukubwa wa kiwanja ni 25X20 =500 sqm -kina hati miliki ya wizara -bei Milioni 500 -panafaa kwa makazi au biashara
Viwanja
TZS 500,000,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
Pro Viwanja Mwanza Mwanza 4 months
kiwanja kinauzwa mwanza mjini kati
TZS 400,000,000
kiwanja kinauzwa mwanza mjini kati
Mwanza
Kiwanja kinauzwa mjini kati -ukubwa wa kiwanja ni 25X20 =500 sqm -kina hati miliki ya wizara mkononi -bei Milioni 400 ( punguzo lipo ) -panafaa kwa makazi au biashara
Viwanja
TZS 400,000,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
nyumba inauzwa mwanza - ilemela
TZS 250,000,000
nyumba inauzwa mwanza - ilemela
Mwanza
NYUMBA INAUZWA ILEMELA -ina vyumba vinne vya kulala ( vyumba vitatu ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni sqm 970 -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 250
Nyumba Zinauzwa
TZS 250,000,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
apartment nzuri ya kisasa inapangishwa mahina
TZS 250,000
apartment nzuri ya kisasa inapangishwa mahina
Mwanza
Apartment inapangishwa mahina -chumba kimoja self contained, sebule na jiko -kodi 250,000 kwa mwezi -malipo ni miezi sita -umeme na maji unajitegemea
Nyumba za Kupanga
TZS 250,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
Pro Viwanja Mwanza Mwanza 4 months
kiwanja chenye fensi cha ukubwa wa sqm 1025 kinauzwa mkolani
TZS 35,000,000
kiwanja chenye fensi cha ukubwa wa sqm 1025 kinauzwa mkolani
Mwanza
KIWANJA CHENYE FENSI KINAUZWA MKOLANI -ukubwa wa kiwanja ni (40X26)= Sqm 1025 -kiwanja kimepimwa tayari -bei Milioni 35 tu ☎️ 0743220097
Viwanja
TZS 35,000,000
rickrealestatetz Pro rickrealestatetz 4 months
Pro Viwanja Mwanza Mwanza 4 months
kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya mtaa wa kishua
TZS 57,000,000
kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya mtaa wa kishua
Mwanza
KIWANJA KINAUZWA NYEGEZI MAJENGO MAPYA -ukubwa wa kiwanja ni Sqm 1,400 -kiwanja kina hati miliki ya wizara -bei Ni Milioni 57 ( punguzo lipo ) ☎️ 0743220097
Viwanja
TZS 57,000,000
Are you a professional seller? Create an account