Awards nzuri zenye shape utakayo. Tuna design kulingana na hitaji la mteja. Nzuri na nene zenye uzito wa kawaida, rahisi kubebeka. Tunaandika maneno/picha unayotaka. Nzuri kwa matukio tofauti tofauti, kumpa Boss, Best Employee, Rafiki, Mama, Baba n.k
Hizi saa ziko very Classic & Unique. Size A3 Tuandaa kulingana na hitaji la mteja. Zipo zenye Whiteboard kwa nyuma na zenye Wooden board. Nzuri kwa zawadi ya Send-off, Harusi, Birthday, Anniversary n.k
Ni rock frame nzuri sana. Nzito (ni rock material) Ina stand yake. Inafaa kuweka picha na maneno utakayo. Nzuri kwa zawadi ya jinsia yoyote kwa tukio lolote. Size A5 & B5.
Frame nzuri sana kwa waheshimiwa, Boss n.k Medal Of Honor inafaa kuwa kama certificate ya shukran. Inafaa kuweka picha na maneno utakayo/Logo pia. Ni Size A5.
Hii Organiser nzuri sana kuiweka ofisini. Material yake ni leather quality ???????? Tunaandika maneno unayotaka. Inafaa kwa ajili yako/zawadi kwa wafanyakazi/Boss wako ofisini