68 Products For Sale in Pwani
Bei ya Viwanja mpya na used kutoka kwa wauzaji mbalimbali Pwani Tanzania. Find great deals on different products from verified sellers on Zoom Tanzania.
There was problem loading your listings, please try to refresh this page
Refresh
Ben Kihomwe
1 year
shamba
TZS 50,000,000
shamba
Pwani
eneo linauzwa Kerege Bagamoyo, lina ukuwa wa mita za mraba 5000, linafikika kwa gari, lina maji na umeme. eneo lina banda la kuishi la vyumba viwili na mabanda mawili ya mifugo. Mawasiliano 0747144763
TZS 50,000,000
julius haule (Julz)
1 month
Alex Mathoyo
9 months
Land for sale
TZS 40,000,000
Land for sale
Pwani
Land for sale Located at Mkuranga District Pwani It take 10km from mkuranga center Affordable for any investment Alongside Kikwa road
TZS 40,000,000
Excela Joshua
1 year
SHAMBA LINAUZWA MBWEWE BAGAMOYO
TZS 30,000,000
SHAMBA LINAUZWA MBWEWE BAGAMOYO
Pwani
SHAMBA ZURI SANA LINA CHANZO CHA MAJI LINAUZWA MBWEWE WILAYA YA BAGAMOYO. NI KILOMITA 13 TOKA LAMI. SHAMBA LINA MIGOMBA, MARIMAO, MICHUNGWA NA MIBAAZI LOC :MBWEWE WILAYA YA BAGAMOYO AREA :EKA 50 PRICE : MIL 30 UMILIKI :MKATABA WA SERIKALI YA KIJIJI CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090...
TZS 30,000,000
Halisi Kisima
2 years
Pro
Adam jazile
1 year
Stephen Shikimayi
2 years
Excela Joshua
1 year
SHAMBA LINAUZWA BAGAMOYO KITOPENI KWA MASHAKA
TZS 18,000,000
SHAMBA LINAUZWA BAGAMOYO KITOPENI KWA MASHAKA
Pwani
SHAMBA LINAUZWA BAGAMOYO KITOPENI KWA MASHAKA, NI BAADA YA KILOMO. NI KILOMITA 4½ TOKA BAGAMOYO ROAD LOC :BAGAMOYO KITOPENI KWA MASHAKA AREA :EKA 2 PRICE : MIL 18 UMILIKI : MKATABA WA SERIKALI YA KIJIJI CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excela_and_properties HUDUMA ZOTE Z...
TZS 18,000,000
Pro
Danvast Land and Property
9 months
Excela Joshua
9 months
SHAMBA LINAUZWA KIWANGWA BAGAMOYO
TZS 15,000,000
SHAMBA LINAUZWA KIWANGWA BAGAMOYO
Pwani
SHAMBA LINAUZWA KIWANGWA BAGAMOYO, LIKO UMBALI WA KILOMITA 5 TOKA MAIN ROAD LOC :KIWANGWA BAGAMOYO AREA :EKA 20 PRICE: MIL 15 UMILIKI :MKATABA WA SERIKALI YA KIJIJI CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excela_and_properties HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH...
TZS 15,000,000
Ansigar Kyejo
1 week
Misugusugu - Kibaha
TZS 15,000,000
Misugusugu - Kibaha
Pwani
📍 Mahali: Misugusugu, Kibaha (Karibia na grid ya umeme ya taifa) 📐 Ukubwa: 24m x 28m = 672 sqm 🏠 Msingi wa Nyumba ya Kisasa Tayari ➡️ Vyumba 4 (viwili ni Master) ➡️ Sebule, Dining, Jiko, Store, na Public Toilet 🛠️ Spetic Tank limechimbwa 🧱 Matofali 300+ tayari yapo site ⚡ Umeme, barabara na Maji vipo jirani kabisa 🗺️ Ramani ya Nyumba utapewa bure kabisa! 💸 B...
TZS 15,000,000
Pro
Adam jazile
1 year
Pro
viwanja ultimate properties
1 year
Pro
Adam jazile
1 year
Simons Real Estate Development SRED
1 year
Shamba Linauzwa
TZS 8,000,000
Shamba Linauzwa
Pwani
Ekari 20 za shamba zinauzwa Bagamoyo. Linafaa Kwa kupima viwanja vya makazi au kiwanda. Bei ni kwa kila ekari moja
TZS 8,000,000
Hafsa
2 years
Pro
Adam jazile
1 year
Shamba la ekari 3 linauzwa bagamoyo
TZS 7,500,000
Shamba la ekari 3 linauzwa bagamoyo
Pwani
SHAMBA LA EKARI 3 LINAUZWA MWAVI FUKAYOSI Lipo umbali wa kilometa 1 kutoka main load ya bagamoyo msata kila ekari 1 inauzwa shilingi milioni 2 na nusu shamba ni zuri sana unaweza ukapanda mazao yoyote yale kama vile nanasi, miembe ,migomba,korosho,nazi,papai,mahindi,nk
TZS 7,500,000
Eze Magari
1 week
KIWANJA KIBAHA MAILI MOJA 20KWA20 MILION 7
TZS 7,000,000
KIWANJA KIBAHA MAILI MOJA 20KWA20 MILION 7
Pwani
🏡 VIWANJA VINAUZWA – MILIONI 7 📍 KIBAHA MAILI MOJA 📞 PIGA SIMU: 0653 358 435 / 0716929703 💬 GUSA LINK TUCHAT WhatsApp: 👉 https://wa.me/255695095520 WhatsApp. https://wa.me/255625901623 📏 UKUBWA: 20m x 20m 💰 PRICE/BEI: TSHS MILIONI 7 ✅ VIPO KM 4 KUTOKA MOROGORO ROAD ✅ PANAFIKIKA KIRAHISI MUDA WOWOTE ✅ HUDUMA ZOTE MUHUMU ZINAPATIKANA 🚗 KUPELEKWA SITE : TSHS 25...
TZS 7,000,000
Excela Joshua
1 year
KIWANJA KIKUBWA SANA KINAUZWA NA BANK MKULANGA
TZS 6,500,000
KIWANJA KIKUBWA SANA KINAUZWA NA BANK MKULANGA
Pwani
KIWANJA KIKUBWA SANA KINAUZWA NA BANK LOCATION: KIKO MKWALIA KITUMBO MKULANGA. UMBALI WA KILOMITA TATU TOKA MAIN ROAD UKUBWA NI EKA 1¼ BEI: SHILINGI MILIONI 6.5 UMILIKI WAKE NI MKATABA WA MAUZIANO CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excela_and_properties Kujiunga na group l...
TZS 6,500,000
Alphonce Kamisa
2 years
SHAMBA REAL ESTATE FOR SALE IN KIWANGWA
TZS 5,000,000
SHAMBA REAL ESTATE FOR SALE IN KIWANGWA
Pwani
Shamba lipo Kiwangwa eneo linaloitwa Bago katika kijiji cha Msinune. Lina ukubwa wa takriban eka mbili (02) kasoro hivi. Jirani n shamba ipo Shule ya Msingi Msinune. Barabara ya vumbi inafika hadi shambani na gari zinafika kiurahisi. Umbali kutoka shambani hadi barabara ya lami inayotoka Bagamoyo kuelekea Msata ni kama Kilometa 1 hivi. Linafaa kwa kilimo cha...
TZS 5,000,000
Happy Twissa
11 months
SHAMBA Bagamoyo Pwani
TZS 5,000,000
SHAMBA Bagamoyo Pwani
Pwani
SHAMBA HEKA 4 PEMBENI YA MTO WAMI ,LIMESAFISHWA ,KIWANGWA BAGAMOYO LINAUZWA ,KUNA MIRADI YA KILIMO NA UFUGAJI IMEZUNGUKA SHAMBA NA PAMOJA NA BARABARA PANA YA GARI KUTOKA BARABARA KUU HADI SHAMBA IPO VIZURI.
TZS 5,000,000
Mrisho Selemani
2 years
Pro
Rachel James
1 year
Rahimu Ally
1 year
Rahimu Ally
1 year